Call Us : +255743157785
    Sign up and GET 50% OFF for your first order orRegister as author

    Books

    Fahamu Misingi na Kanuni za Ndoa
    Mahusiano & Ndoa

    Fahamu Misingi na Kanuni za Ndoa

    TZS 10,000

    Najua utakuwa umeshawahi kujiuliza, kwa nini mahusiano ya ndoa nyakati hizi yamekuwa na changamoto nyingi sana? Kwa nini ndoa za wazazi wetu zimeendelea kudumu miaka na miaka tofauti na mahusiano ya ndoa kwa vizazi vya hivi karibuni? Majibu yake ndio yakanifanya niandike kitabu hiki ambacho kitaweka nuru na dira katika mchakato wa mahusiano ya urafiki, uchumba hadi kupelekea ndoa zenye uimara.

    Hata hivyo baada ya kuyaona hayo yote nikapata hamu ya kuanza kujifunza kwa bidii kile nilichokipitia MIMI BINAFSI KWENYE NDOA YANGU na ambacho Mungu anataka nikitumie kuwafundisha watu wake ili kiwasaidie na kuwajengea uwezo wa kufahamu, kuelewa na kufurahia maisha yao ya ndoa.

    Views: 31
    Share :

    Instant Access
    No more waiting. Get instant access to your products.
    Flexible Payment
    Mobile payments like M-PESA, MIXX, AIRTEL MONEY, and Credit Cards.
    24×7 Support
    We value your content, and we are here to support you all days of the week.