FELOMENA mganga msaidizi katika hospital ya Amana jijini Dar Es Salaam. Aliolewa na Dr Willy lakini siku hiyo hiyo akatoroshwa na kwenda kuishi na mfanyabiashara tajiri Saidi Mikindo. Hakika huu ni mkorogo wa mapenzi. Masikini Felomena alijikuta anaishia kulazwa Muhimbili akiwa hajitambui.