Msako wa jeshi la polisi jijini mwanza umeshindwa kumkamata Karo Mmanga koko ambaye jaribio lake la kuiba kwa tajiri Lushinda lilikwama akaishia kuua mlinzi. Kama vile haitoshi akamteka mtoto wa tajiri Lushinda na kumuua. Hivi huyu Karo ni kibaka tu au jambazi aliyekubuhu. Koplo Tom Bunu ndiye mwenye majibu.