Kitabu hiki ni mahususi kwa ajili ya maombi ya vitu kadhaa ambavyo vinaweza kuwa chanzo cha mateso katika Maisha yetu. Kitabu hiki kitakuongezea shauku ya kuomba na kusoma Neno la Mungu kila siku.
Tujue aina za Maombi
Maombi ni Ufunguo, na kuna aina nyingi za funguo kulingana na kufuri. Kwa hiyo, kila ombi lina mahali pake kama ambavyo huwezi kutumia Ufunguo wa kufuri hili kufungulia kufuri lile. Hata maombi ni vivyo hivyo. Kwa haraka tu, tambua aina saba za maombi:
Maombi ya Kushukuru;
Maombi ya Toba;
Maombi ya Kusihi;
Maombi ya Kukemea;
Maombi ya Kuamuru;
Maombi ya Kutamka; na
Maombi ya Kinabii.