Mikononi mwa Mumiani ni simulizi inayowahusu akina mama wawili waliotoroka kutoka katika genge la wachawi kukwepa kuuawa. Katika harakati zao za kutoroka wakajikuta wamekwenda mbali na kwao na kukutana na mkasa wa kunusurika kunyonywa damu na Mumiani.
Baadae wanakuja kupata bahati ya kuokolewa kaatika namna ambayo hata wao hawakuamini.