Call Us : +255743157785
    Sign up and GET 50% OFF for your first order orRegister as author

    Books

    Mwanamke Jitambue
    Self-Help

    Mwanamke Jitambue

    TZS 10,000

    Kitabu hiki “Mwanamke Jitambue, Jiheshimu, Jilinde” nimekiandaa kama zawadi kwa wanawake wote. Si zawadi ya kawaida, bali ni zawadi ya hekima, maarifa, na mwongozo wa maisha. Lengo lake ni kukuonyesha nguvu zako, thamani yako, na njia za kujilinda katika maisha yako ya kila siku ili uweze kuishi salama   na   kuweza   kuzifikia   ndoto   zako. Kwanza, nataka ujitambue. Tambua nguvu zako, vipaji vyako, na thamani yako ya kweli. Ukiwa na ufahamu huu, unaweza kufanya maamuzi yenye busara na kuelekea kwenye maisha yenye maana.

    Pili, jiheshimu wewe mwenyewe. Heshima binafsi ni msingi wa mafanikio, furaha, na ustawi. Kitabu hiki kitakuonyesha jinsi ya kujithamini na kuweka mipaka yenye afya katika maisha yako na kujitengenezea heshima binafsi na katika jamii kwa ujumla. Tatu, jilinde. Linda akili yako, mwili wako, na moyo wako. Kila mwanamke anakabiliwa na changamoto, lakini tambua namna ya kujilinda na kuzitatua changamoto ili zisikuletee madhara makubwa na kushindwa kuzifikia ndoto zako maishani.zifanye changamoto ni daraja la kukuimarisha na kuwa bora zaidi maishani.

    Views: 58
    Share :

    Instant Access
    No more waiting. Get instant access to your products.
    Flexible Payment
    Mobile payments like M-PESA, MIXX, AIRTEL MONEY, and Credit Cards.
    24×7 Support
    We value your content, and we are here to support you all days of the week.