Je, ni lazima ulipe tuition kubwa ili mtoto afaulu?
Kitabu hiki kinakufundisha jinsi ya kumlea mwanafunzi mwenye nidhamu, bidii na matokeo mazuri bila kutumia gharama kubwa za tuition. Kupitia mbinu rahisi za malezi, usimamizi wa masomo na mazingira ya nyumbani, utajifunza namna ya kumsaidia mtoto wako kufaulu akiwa nyumbani.
Mzazi Okoa Pesa za Tuition ni mwongozo wa mzazi mwerevu anayetaka kuona mtoto wake anafaulu kwa akili, maadili na juhudi — bila mzigo mkubwa wa kifedha.