NGUVU YA MWANAMKE MUOMBAJI
Kuna nguvu kubwa ndani ya mwanamke anayejua kupiga magoti na kuzungumza na Mungu. Hiki kitabu kimeandikwa kwa ajili ya mwanamke anayepitia maumivu, changamoto, kukata tamaa au anayehitaji ukaribu zaidi na Mungu.
Ndani ya kitabu hiki utapata:
• Mistari ya Biblia ya kukupa nguvu na tumaini
• Mafundisho yatakayokujenga kiroho
• Maombi ya kukusaidia wakati wa maumivu na changamoto
• Jinsi ya kuwa mwanamke mwenye nguvu ya maombi
• Namna ya kusimama imara wakati wa majaribu
• Kuponya moyo wenye maumivu kupitia maombi na imani
• Kujenga mahusiano ya karibu na Mungu
• Kupata amani, nguvu na matumaini mapya kila siku
Hiki si kitabu cha kusoma tu, ni mwongozo wa kiroho utakaoamsha imani yako na kukufanya uone kuwa bado Mungu ana mpango mkubwa na maisha yako.
Ikiwa unahitaji nguvu mpya ya kusonga mbele, kupona ndani ya moyo wako na kujifunza siri ya mwanamke mwenye maombi, basi kitabu hiki ni kwa ajili yako.