Call Us : +255743157785
    Sign up and GET 50% OFF for your first order orRegister as author

    Books

    Nguvu ya Pasaka katika Kushinda Vita ya Kiroho
    Dini & Imani

    Nguvu ya Pasaka katika Kushinda Vita ya Kiroho

    TZS 10,000

    Vita ya kiroho ni mapambano katika ulimwengu wa roho kati ya UFALME WA NURU dhidi ya UFALME WA GIZA. Shetani na washirika wake wametumia nafasi hii kuwashambulia watu wengi kwa njia mbali mbali, pamoja na mashambulizi hayo Mungu amewapa watu wake mamlaka na uwezo mkubwa wa kutumia NGUVU YA SILAHA YA PASAKA kwa ajili ya KUJILINDA na KUMSHAMBULIA shetani.

    Lakini tatizo kubwa lililopo kwa watu wengi ni kukosa ule ufahamu wa vita yenyewe ya kiroho, utambuzi wa nguvu ya silaha ya Pasaka na namna ya kuitumia kwa ufanisi katika kumshinda shetani. Hivyo nimeandika kitabu hiki ili kikusaidie na kukujengea uwezo wa kufahamu, kuelewa na kujitegemea katika mapambano dhidi ya shetani kwa kutumia nguvu iliyomo katika silaha ya PASAKA.

    Naimani kwa njia ya kitabu hiki utaweza kujifunza mbinu mbali mbali unazoweza kuzitumia kumtambua adui, utambuzi wa silaha mbali mbali katika kushinda vita ya kiroho, jinsi ya kutumia silaha ya nguvu ya Pasaka katika kushinda VITA YA KIROHO.

    Views: 7
    Share :

    Instant Access
    No more waiting. Get instant access to your products.
    Flexible Payment
    Mobile payments like M-PESA, MIXX, AIRTEL MONEY, and Credit Cards.
    24×7 Support
    We value your content, and we are here to support you all days of the week.