Wakati umma unatangaziwa kifo cha Kachero Koplo Tom Bunu, kumbe ukweli ni kwamba Kachero huyo ameingizwa katika idara ya Ujasusi ya Taifa kwa namna ngumu sana, ambayo hata yeye mwenyewe inamshangaza.
Views: 29
Share :