Call Us : +255743157785
    Sign up and GET 50% OFF for your first order orRegister as author

    Books

    Shushushu C.I.D.
    Riwaya & Hadithi

    Shushushu C.I.D.

    TZS 5,000

    SHUSHUSHU C.I.D. ni simulizi inayomhusu kijana Frenk Oktoka ambaye ni karani wa ushuru wa soko la Umoja ambaye siku moja alipokwenda Benki ya Matumaini Tawi la Chekeleni ndani  alikutana na Mage karani wa benki ambaye alimfananisha na Feruzi Mpera  Mhasibu wa Kampuni ya FBT akamkabidhi begi jeusi lililojaa pesa za mishahara ya wafanyikazi.

    Frenki kwa kuhisi kuwa begi lile lina pesa aliamua kutumia fulsa hiyo na kutokomea mitaani na mzigo huo.

    Huku nyuma baada ya Mhasibu wa FBT kusubiri muda mrefu bila kupewa pesa anaamua kumfuata Karani Mage kumwuliza kulikoni. Hapo ndipo wanapobaini kuwa makossa yamefanyika.

    Taharuki hiyo inaanzisha purukushani za upelelezi ambazo zinakuja kuzua mambo mengi vikiwemo vifo na visasi.

    Shushushu C.I.D. ni simulizi ambayo ukianza kuisoma hutapenda kuikatizia njiani; utatamani uisome hadi inapofikia mwisho wake.

    Views: 91
    Share :

    Instant Access
    No more waiting. Get instant access to your products.
    Flexible Payment
    Mobile payments like M-PESA, MIXX, AIRTEL MONEY, and Credit Cards.
    24×7 Support
    We value your content, and we are here to support you all days of the week.