Call Us : +255743157785
    Sign up and GET 50% OFF for your first order orRegister as author

    Books

    Sifa za Mwana Maombi
    Dini & Imani

    Sifa za Mwana Maombi

    TZS 5,000

    Kitabu hiki kimejaa maarifa mbalimbali ambayo yanayofaa kukusaidia wewe na mimi kama waombaji katika Kristo Yesu. Unaweza ukawa mwombaji lakini ukawa uzijui sifa za mwanamaombi kitabu hiki kinakupatia ujuzi wa ziada kama mwanamaombi.

    Ukikisoma kwa umakini utaona matokeo mbalimbali sehemu ilipofundisha somo hili watu wengi walibarikiwa mno na kupata maarifa ya kutosha katika kuomba, ndio maana nami nikaona nitumie njia hii yakuandika kitabu ili niweze kukufikia wewe kama mwombaji kwa urahisi zaidi kisome tena na tena kitakupa maarifa.

    Na Mungu Baba na Bwana wetu Yesu Kristo na Roho Mtakatifu watakufundisha kwa urefu na kwa mapana na kwa kina na kwa kimo utapata ujuzi wa Rohoni ili uweze kuwa mwombaji mzuri katika kuomba.

    Muombaji yoyote lazima azingatie na ajue yakuwa maombi yote ili yajibiwe huitaji kufanyika chini na ndani ya mapenzi ya Mungu (Mathayo 26:39-41).

    Kwa hiyo tukiomba katika mapenzi yake tu kama waombaji yeye atafanya maana amesema ombeni nanyi mtapewa………. (Mathayo 7:7, Yohana 14:12)

    Views: 67
    Share :

    Related Books

    Explore Related Books

    No related books found.
    Instant Access
    No more waiting. Get instant access to your products.
    Flexible Payment
    Mobile payments like M-PESA, MIXX, AIRTEL MONEY, and Credit Cards.
    24×7 Support
    We value your content, and we are here to support you all days of the week.