Mambo Muhimu Yaliyomo Ndani ya Kitabu hiki:
· Kategoria za Kisintaksia katika lugha ya Kiswahili: yaani Kategoria za Kileksika/Maneno na Kategoria za Virai/Kimuundo.
· Tungo katika lugha ya Kiswahili: Tungo Neno, Tungo Kirai, Tungo Kishazi, Tungo Sentensi.
· Viambajengo katika lugha ya Kiswahili: Ushahidi wa uwepo wa viambajengo, dhana mbalimbali za viambajengo, mahusiano ya kiutawala na kutangulia ya viambajengo, Kanuni ya Mahusiano ya Utawala wa Viambajengo [C- Command Relations].
· Sarufi Mapokeo: uchanganuzi wa tungo katika Kiswahili kwa mkabala wa sarufi hiyo.
· Sarufi Muundo Virai: kanuni za muundo virai, na uchanganuzi wa tungo katika Kiswahili kwa mkabala wa sarufi hiyo.
· Sarufi Geuzi Maumbo Zalishi: dhana zake kama vile: Uchamko, Ujalizaji, Uunganishaji, Utegemezaji, na kanuni za ugeuzi pamoja na uchanganuzi wa tungo katika Kiswahili kwa mkabala wa sarufi hiyo.
Kitabu Hiki ni kwa Ajili ya Nani?
· Walimu & Wahadhiri: Wanaotaka kuandaa notisi za kufundishia Kiswahili na kozi ya Sintaksia darasani, mtandaoni, e-books, na kuandika vitabu vya Sarufi.
· Waandishi & Watafsiri: Wanaofanya tafsiri kutoka lugha moja Kwenda Kiswahili. Wanapaswa kujua sintaksia.
· Watafiti wa Lugha za Asili: Wanaofanya utafiti katika Kiswahili.
· Wanafunzi wa Shahada ya Awali, Umahiri na Uzamivu: Wanaotaka kupata kitabu cha marejeleo katika kozi zao za sarufi ya Kiswahili.
· Wapenzi wa Kiswahili: Wanaotaka kulinda na kukuza lugha ya Kiswahili.