Call Us : +255743157785
    Sign up and GET 50% OFF for your first order orRegister as author

    Books

    Siri za Uhakika wa Ushindi katika Vita ya Kiroho
    Dini & Imani

    Siri za Uhakika wa Ushindi katika Vita ya Kiroho

    TZS 10,000

    Vita ya kiroho ni mapambano katika ulimwengu wa roho kati ya nguvu za NURU dhidi ya nguvu ya GIZA. Kwa kukosa ufahamu na uelewa wa VTA HII, shetani na washirika wake wametumia nafasi hii kuwashambulia watu wengi kwa njia mbali mbali za wazi na nyingine ni za kujificha sana.

    Pamoja na mashambulizi hayo dhidi ya kanisa na wakristo lakini Mungu amewapa watu wake mamlaka na uwezo mkubwa wa silaha nyingi zaidi ya maelfu kwa ajili ya kujilinda na kumshambulia shetani. Lakini tatizo kubwa lililopo kwa kanisa na wakristo wengi ni ufahamu wa vita yenyewe ya kiroho, utambuzi wa silaha, na namna ya kuzitumia kwa ufanisi katika kumshinda shetani.

    Nimeandika kitabu hiki ili kuwasaidia na kuwajengea uwezo wakristo juu ya ufahamu na uelewa wa ukweli wa vita ya kiroho ili waweze kujitegemea katika mapambano dhidi ya shetani na washirika wake.

    Naimani kwa njia ya kitabu hiki kanisa pamoja mkristo wataweza kujua njia mbali mbali ya kuziona silaha maelfu za kivita zilizopo katika Biblia, jinsi ya kumtambua adui, uelewa mpana juu ya vita ya kiroho na nguvu za giza, falsafa mbali mbali katika vita ya kiroho, utambuzi wa silaha mbali mbali katika vita ya kiroho, jinsi ya kutumia silaha mchanganyiko katika vita ya kiroho, kutumia silaha ya malaika katika maombi na uhakika wa kushinda katika vita ya kiroho.

    Views: 4
    Share :

    Instant Access
    No more waiting. Get instant access to your products.
    Flexible Payment
    Mobile payments like M-PESA, MIXX, AIRTEL MONEY, and Credit Cards.
    24×7 Support
    We value your content, and we are here to support you all days of the week.