Call Us : +255743157785
    Sign up and GET 50% OFF for your first order orRegister as author

    Books

    Ukweli wa Maisha
    Self-Help

    Ukweli wa Maisha

    TZS 10,000

    NAJUA umekuwa unajiuliza nini maana ya maisha? Siku za hivi karibuni kumekuwa na IDADI kubwa ya watu wengi kupata changamoto ya AFYA YA AKILI kutokana na CHANGAMOTO za maisha. Je, ni kweli maisha yamekuwa na changamoto kubwa kiasi hicho hadi kufikia watu wengi kujiua?

    Baada ya kutafakari sana MAJIBU yake ndio yakanifanya nikuandikie kitabu hiki chenye habari za UKWELI WA MAISHA kitakachoweka usawa na ukweli halisi wa kuishi ili walau uchukue tahadhari mapema pindi unapokumbana na changamoto za MAISHA.

    Tukumbuke kuwa kuishi katika kusudi lako ni mpango halisi kabisa wa Mungu kwa wanadamu, hivyo tusiufanye kuwa mpango wa shetani kwa KUJITAHIDI KUISHI

    Views: 4
    Share :

    Instant Access
    No more waiting. Get instant access to your products.
    Flexible Payment
    Mobile payments like M-PESA, MIXX, AIRTEL MONEY, and Credit Cards.
    24×7 Support
    We value your content, and we are here to support you all days of the week.