Call Us : +255743157785
    Sign up and GET 50% OFF for your first order orRegister as author

    Books

    Uongozi Imara - Kanisa Imara
    Dini & Imani

    Uongozi Imara - Kanisa Imara

    TZS 10,000

    Uongozi ni tunu na jitihada kulingana na pahala ulipofunuliwa na kutumika.  Uongozi ni tabia na yenye chembechembe za taaluma.

    Uongozi ndio kioo kinachoaksi maono ya Taasisi yoyote ile. Ukiona taasisi inastawi sana na kusonga mbele kwa kasi kubwa sana, fahamu hapo pana Uongozi Imara; ukiona taasisi imesimama paleplape au imedumaa, fahamu kuwa hapo pana Uongozi wa Ujuaji; na ukiona taasisi inarudi nyuma kila uchao, fahamu kuwa pana Uongozi Dhaifu.

    Views: 28
    Share :

    Instant Access
    No more waiting. Get instant access to your products.
    Flexible Payment
    Mobile payments like M-PESA, MIXX, AIRTEL MONEY, and Credit Cards.
    24×7 Support
    We value your content, and we are here to support you all days of the week.