Kitabu hiki, “Yaliyofichika Ndani ya Ufunuo wa Yohana Kuhusu Siku za Mwisho”, kinafungua siri zilizomo katika kitabu cha Ufunuo, Sifa kumi na mbili za Mwanakondoo baada ya kufufuka.
Mpango kinabii kwa kanisa tangu karne ya kwanza hadi unyakuo wa Kanisa,Itifaki ya mbinguni,wazee 24 na wenye uhai 4 ,tangazo la Ushindi wa Mwanakondoo na ujio wa mpinga KRISTO Duniani ,utawala wa millenium na mambo mengine ya kutisha ambayo yamechambuliwa ndani ya kitàbu hiki bora.
Ambacho Kinamchukua msomaji katika safari ya kiroho yenye mwanga na ufahamu, kuunganisha maandiko ya kihistoria, maandiko ya Biblia, na tafsiri ya kipekee ya mwandishi. Kitabu kinatoa ufahamu juu ya vitisho, ishara, na mapigo ya mwisho wa dunia, huku pia kikitoa mwanga juu ya matumaini, wokovu, na jinsi waumini wanavyoweza kujiandaa kiroho na kimkakati.